TANZIA: Mhandisi Mike wa ATCL afariki dunia

Wakina zoe,Andrew,sarah Dan wako ulayaa kitamboo sana
Sasa ndo akili na kumbukumbu zinanijia..
Ni muda mrefu sana sana.
Mama yao kina David Musa natumaini ni msukuma, wakati namkumbuka mzee Gordon alikuwa Mwingereza(mScot kana sikosei).
Msiba huu nitajitahidi kuhudhuria Jumapili.
Watu wengi hawaijui historia ya familia hii lakini ndio familia ilianzisha muziki wa vijana chipukizi miaka ya 60/70, zikiwemo Les Trippers baadaye Safari Trippers.
 
Karibu sana mkuu,binafsi nmempoteza nguli baba yake alikuwa Gordon ashawahi kuwa dc enzi za ukoloni na alimuoa mama wa kisukuma...
Sasa ndo akili na kumbukumbu zinanijia..
Ni muda mrefu sana sana.
Mama yao kina David Musa natumaini ni msukuma, wakati namkumbuka mzee Gordon alikuwa Mwingereza(mScot kana sikosei).
Msiba huu nitajitahidi kuhudhuria Jumapili.
Watu wengi hawaijui historia ya familia hii lakini ndio familia ilianzisha muziki wa vijana chipukizi miaka ya 60/70, zikiwemo Les Trippers baadaye Safari Trippers.
 
Uncle David naye alifariki mwaka Jana alikuwa accountant na mwanzilishi wa safari troupers,

MmHg Nko msibani sahv....mike by mjomba wangu...hiyo picha uliyoweka ni siku ya harusi yangu hyo mama nweupe ni mama yangu mdogo.....sababu ya kujiita Mrangi ni lea sababu nmexhanganya ndg rangi...
Nko mnalakuwa sahv mpwaaa

Ova
Da
mpwantakucheki baaae unipe updates zakamanda wangu
RIP ENGN MIKE
 
Uncle David naye alifariki mwaka Jana alikuwa accountant na mwanzilishi wa safari troupers,
Poor Souls, Mungu awaweke mahali pema peponi.
Mi kijana wa siku nyingi, nawakumbuka wote hao toka 60s ingawaje tumepoteana.
Msiba si ni opposite na Trpple Seven, Kawe Mlalakuwa?
 
Mhandisi wa siku nyingi wa ndege na muajiliwa wa ATCL ndugu Mike aka Musa amefariki dunia. Msiba upo kwake Kawe.

Poleni sana wafiwa.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
View attachment 446571

Poleni sana jamani...poleni sana wafiwa wote...poleni sana 'industry' ya ndege/anga...
 
MmHg Nko msibani sahv....mike by mjomba wangu...hiyo picha uliyoweka ni siku ya harusi yangu hyo mama nweupe ni mama yangu mdogo.....sababu ya kujiita Mrangi ni lea sababu nmexhanganya ndg rangi...
Nko mnalakuwa sahv mpwaaa

Ova
Poleni Sana mkuu,namfaham huyu mzee Sana...
 
Yeah namfahamu Sana,Ni mahili hasa katika boeing,Kama wiki tulikuwa tunamzungumzia na Mzee Batista wa Klm,waliingia pamoja ATC miaka hiyo..
Ha ha ha ha ha Batista Fivawo!!Hawa ndio "vijana" wa ATC toka miaka ya 1970...hawa ni makomrade wangu hawa;umenikumbusha mbali sana ulipomtaja Batista,Wahandisi wa mwanzo kabisa wa ATC wakati wa Mwalimu.

Mwalimu hakuwa na hiyana;hawa aliwapeleka kusoma wakati ATC ina Boeing za maana.U remind me those old good days mkuu muhomakilo jr
 
Back
Top Bottom