Maandishi haya ni ya Mh Raisi wetu walio wengi.. Hongera dk Slaa..R.I.P. Salim . We shall miss your contributions in Parliament as well as your humuor.
Maandishi haya ni ya Mh Raisi wetu walio wengi.. Hongera dk Slaa..R.I.P. Salim . We shall miss your contributions in Parliament as well as your humuor.
Mwenzako JK anatuma vijana wa TISS kuchungulia humu hana ubavu wa kuingia humu kama wewe Rais wetu wa moyoniR.I.P. Salim . We shall miss your contributions in Parliament as well as your humuor.
The opposite of great thinking, mioyo ya kuamini katika ushirikina.ni kawaida kila mwaka wa bunge lazima mmoja au zaidi ya mmoja afe tena vifo vya gafla haijawai kutokea mbunge alieugua kwa mda mrefu hata mara moja
Usimpe kichwa mkuu, sikumbuki ni lini alikwenda kukampeni huko Unguja na Pemba ili ajulikane huko kwa ajili ya kupata urais unaoongelea!Mwenzako JK anatuma vijana wa TISS kuchungulia humu hana ubavu wa kuingia humu kama wewe Rais wetu wa moyoni
Wabunge hao na maofisa wa Bunge, waliendelea kumpepea ili apate ahueni, lakini hali ilizidi kuwa mbaya na kushindwa kuongea kila alipoulizwa jambo.
Walimbeba na baada ya muda waliomba msaada kwa wanahabari waliokuwapo eneo hilo huku wakiwazuia wasipige picha za tukio hilo kwa maelezo kuwa si kila kitu ni habari.
Waandishi watano walisaidiana na wabunge hao kumbeba kwa kupitia mlango wa dharura na alipakizwa kwenye gari la ofisi ya Bunge lenye namba za usajili STK 2178 likiongozwa na pikipiki ya polisi yenye namba za usajili PT 2591.