Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
R.I.P Salim Hemed Khamis. Pole kwa nduguwote, jamaa, marafiki na Watanzani wote walioguswa na msiba huo. Mungu awatie nguvu wakati huu wa majonzi mazito.
R.I.P mh Chambani
Confirmed na nina mtu nimetuma hapo ofisi za Bunge kuna press conference...Taarifa hizi zina uhakika?
R.I.P. Salim . We shall miss your contributions in Parliament as well as your humuor.Confirmed na nina mtu nimetuma hapo ofisi za Bunge kuna press conference...
Neno poleni waTANZANIA si sawa tu.. Hakuna kitu kinaitwa TanganyikaMkuu, kumbe hao wengine siyo Watanzania? Si ungetoa Pole kwa watanganyika na Wanzanibari. Kazi sasa huu Muungano huu...