TANZIA: Mh. Salim Hemed Khamis (CUF) afariki dunia

TANZIA: Mh. Salim Hemed Khamis (CUF) afariki dunia

ni kawaida tu na utaratibu wa kutoa kafara kwa kila mwaka pale bungeni
 
ni kawaida kila mwaka wa bunge lazima mmoja au zaidi ya mmoja afe tena vifo vya gafla haijawai kutokea mbunge alieugua kwa mda mrefu hata mara moja
 
Wabunge wengine hata hawafahamiki kwa sababu ya kukaa kimia, kuopiga makofi na kuwaza posho,
RIP Mbunge, poleni sana wanafamilia na CUF
 
poleni bunge la Tanzania,
poleni chama cha wananchi cuf
poleni wananchi wa Tanzania
poleni wa zanzibari
poleni wapemba
poleni wapiga kura wa jimbo la chambani
poleni familia ya mh Hemed
upole wake na uwezo wake wa kuchangia bungeni tutaukosa
mwe

Mungu amrehemu na amsamehe makosa yake..
Na hatimae angojee ufufuko wa wafu.. ajapo Yesu (nabii Isaa) amfufue...
Ee mungu umrehemu.
 
Poleni sana wafiwa Allah hawape subra.
 
Ni vizuri tukawa na subira ili kupata taarifa kamili juu ya kifo hicho.Hear say is not admissible.Kama una uhakika andika kifo kimetokea na si kusema taarifa zisizo rasmi,kuwa makini we Mtanzania !Una harakia nini?
 
Kama alikula dawa bila kula nadhani vifo vingine hapangi Mungu hata kidogo.. vingine ni uzembe wetu wenyewe..
Sikulazimishi uamini hivyo..
 
poleni wananchi wa Tanzania
poleni wa zanzibari
poleni wapemba

.
Mkuu, kumbe hao wengine siyo Watanzania? Si ungetoa Pole kwa watanganyika na Wanzanibari.
Kazi sasa huu Muungano huu...
 
Pole wafiwa wote walioko znz,tz bara na bunge pia,Mungu amlaze mahali pema amina
 
Back
Top Bottom