Aliyekuwa mbunge wa Chambani visiwani Zanzibar, Mheshimiwa Salim Hemed Khamis amefariki dunia. Taarifa zisizo rasimi ni kuwa amefariki hospitali alikopelekwa baada ya kuanguka. Marehemu amefariki na umri wa miaka 62. Salamu za pole kwa wana CUF, Wana Chambani na wafiwa wote pamoja na ndugu na jamaa. Mungu amlaze mahala pema peponi.
====================================================== Taarifa juu ya kuugua kwake Mh. Salim Hemed Khamis ======================================================
Kama taarifa sio rasmi nadhani hakuna haja ya kuharakisha kuzileta humu haswa unapokuwa unazunguzia KIFO.