mkuu sidhani kama alikuwa kombania A. Fuso amesema plantoon A. Nijuavyo alikuwa b. A si ndio ilikuwa inabeba matenga ya nyanya hadi canadian ikapinduka aka ilipofungwa na eagle?Hakika Fuso umenena yaliyosawia.. Kombania A' maarufu kama Canadian, ilikuwa moto wa kuotea mbali, hata mimi nilikuwa kombania hiyo, na hakika mwanaye Kwame alikuwa mstari wa mbele, Mzee wetu Makame alikuwa mfano wa kuigwa ,mwanaye alisota kama sisi wengine haikujalisha baba yake alikuwa mkuu wa JKT. Kwame pole sana sijui siku hizi yuko wapi huyu mtoto wake. Tumtakie pumziko jema ,Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi. Hakika tutamiss mawazo ya mzee huyu
RIP Meja Makame!!
Habari za kuaminika Mkuu wa JKT Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Makame Rashidi amefariki usiku wa manane, hospitali ya Lugalo.
Mkuu angalia jinsi ya kutaja hivi vyeo usifanye makosa. Huyu ni Meja General siyo Meja. Meja ni cheo kidogo; ukitoka meja unaenda Luteni Kanali ukitoka Ltn Kanali unaend full kanali (kanali) na ukitoka kanali unaenda brigadia na baada ya brigadia ndio Meja General (two star general). Hivyo kumuita Maj. General Makame (RIP) ati Maj. si sahihi unakuwa umemshusha sana.
Namkumbuka Maj. Gen. Makame wakati huo nikiwa kambi moja hivi ambayo imezungukwa na mbuga ya wanyama, alikuwa akija jule basi tunapiga nyumbu na nyati kwa ajili ya nyama ya mkuu. Nyama zinakaishwa kisha nissan inazisafirisha kwa ajili ya kitoweo cha CNS nyumbani kwake. Alikuwa kamanda mzuri enzi za kuiongoza JKT. Mungu ampumzishe mahala patulivu.
R.I.P Kamanda.Habari za kuaminika Mkuu wa JKT Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Makame Rashidi amefariki usiku wa manane, hospitali ya Lugalo.
Bado hajafa kwa hiyo anatubu.we huna dhambi yoyote?
Habari za kuaminika Mkuu wa JKT Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Makame Rashidi amefariki usiku wa manane, hospitali ya Lugalo.
Major makame ndio alikuwa kinara wa kushawishi JKT wasikubali vyama vingi wakishirikiana na Omary Mahita. For more information mu ulize tundu lisu. Wale wote wanaoitetea ccm ujue kwamba hata mbinguni hawatamkuta mungu.
KitukoRIP Makame,
Samahani wakuu kwa kutoka nje ya Tanzia
Naomba kuuliza wandugu, hivi wakati ile camp ya Buhemba ikifungwa kupisha mgodi wa Meremeta, JKT ilikuwa chini yake? Na wakati makao makuu ya JKT yanaungua pale Mlalakuwa yeye ndio alikuwa Top pale