TANZIA: Meja Jenerali Makame Rashid afariki dunia

TANZIA: Meja Jenerali Makame Rashid afariki dunia

RIP. Major na kama ulifanya madhambi na haukutubu utaona cha mtemakuni jiandaa kujibu maswahi kuhusu ulivyoshirikiana na ccm kutesa watanzania na kuwapimbaza for political game.
una matatizo mkuu ,uende haraka umuone doctor

wa mifugo.
 
Habari za kuaminika Mkuu wa JKT Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Makame Rashidi amefariki usiku wa manane, hospitali ya Lugalo.

To: Makame's familiy - May the Almighty God who knows your sorrow bring piece, comfort, and healing to your soul.
RIP - Jenerali na Kamanda.
 
Lipyanda lya nyoke, ataangola vitukutuku vyakamaite nalipyanda neyo. Aninguchima
 
NDio inatusaidia nini kama alishafariki siku nyingi huyo body guard
Dogo enzi hizo hujazaliwa bado, ndio maana hata JKT huitaki, story zinazokufaa ni za kina Diamond, Wema Sepetu Kanumba na kina Lulu
Post km haikugusi kwanini usiipite? huku tuachieni wa 47

MUNGU ailaze roho ya Marehemu mahala pema Peponi, Meja General
ananikumbusha enzi zake alishababisha Ndoa ya Mzee wangu wa Kiarabu huko Mbeya kuvunjika alikuwa Nacet chapa mamba
 
Habari za kuaminika Mkuu wa JKT Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Makame Rashidi amefariki usiku wa manane, hospitali ya Lugalo.

R.I.P Meja Jenerali Rashid Makame. Pole kwa wote walioguswa na msiba huo. Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira na kuwatia nguvu familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu.

Salaam za pole pia zimwendee CDF kwa niaba ya majeshi na wapiganaji wote.
 
Hivi ni kwame yupi huyo aliyekua makutupora jkt wakati wa pass out manake nakumbuka kwame makame alikua kikosi cha mgulani jkt tena upande wa jitegemee jkt secondary school na katika hali isiyo ya kawaida kila jioni aliondoka kulala nyumbani na kurudi asubuhi akiwa kuruta. Inawezekana wakati wa pass out alichukuliwa kwenda huko makutupora kuigiza.

Mwenyezi mungu ailaze roho ya mzee wetu mahala pema

RIP kamanda.

Kwa wale tuliokuwa makutupora JKT - 1993 OP vyama vingi - mtakumbuka kamanda wetu alivyokuja kujiunga nasi wiki moja kabla ya kucheza parade (kwata) ya kuhitimu kwa niaba ya kambi zote; pia mtamkumbuka jinsi alivyofanya vikao vyetu (Yeye mwenyewe na sisi makukruta) kupeleleza kama kulikuwa na unyanyasaji ndani ya jeshi la JKT. Ikumbukwe that time wazazi walikuwa wana wasiwasi kwamba jeshi lina unyanyasaji wa kijinsia; hili tuli-prove kwa kamanda kwamba hatujaona kitu kama hicho.

Kwenye PASS OUT parade - Platoon A - Section A - Mstari wa mbele Kulia kulikuwa na mwanaye Kwame! Poleni wafiwa. kwa niaba ya wahitimu wa Makutupola JKT nawakilisha, maana kamanda huyu alikuwa ni mzazi, akitutembelea tu tulisema kila kitu pamoja na adhabu zisizo na mantiki, kichele kidogo (monthly allowance), nk

Mgeni rasmi kwenye kwata letu la kuhitimu alikuwa mzee wetu Mh. Malecela - wakati huo akiwa Waziri Mkuu wa JMT.
 
Fuso ndugu, hapo kwenye RED unatakiwa kutubu dhambi ya kusema UONGO kwa Kamanda. Hakuna kambi ambayo vitendo vya unyanyasaji havikuwepo labda kama unamuogopa Kwame. Muogope Mungu sio mtu. Nenda ukaongozwe sala ya TOBA.

Kamanda mwenyewe alikuwa mzee wa totozi. Akifika kikosini lazima apewe either kuruta au matroni yeyote mwenye kupendeza ambaye hana mume kambini hapo. Hao mabinti hawakwenda kwake kwa kupenda bali kwa shuruti. RIP Mkuu wa JKT Mstaafu
 
RIP Maj. General (Rtd) Makame Rashid.

Pia pole ziwaendee watani zangu CCM kwa kumpoteza kada.
 
msiba upo brbr ya Rose Garden karibu na kota za TPDC uliza kwa major General Makame
Asante kwa directions maana sijonana naye Kamanda huyu miaka mingi toka ahame pale karibu na Ikulu.

Nasikitika sana kuwa sijaweza kumwona mkongwe huyu wa JKT kwani marehemu baba yangu mzazi, waanzilishi wa JKT, ndio waliompokea akiwa kijana miaka ya '60.

Alikuwa mcheshi, anaheshimu kila mtu mkubwa na mdogo pamoja na vyeo vyake vikubwa kitaifa.
Mungu amuweke mahali pema peponi Kamanda Makame Rashid.
 
Fuso ndugu, hapo kwenye RED unatakiwa kutubu dhambi ya kusema UONGO kwa Kamanda. Hakuna kambi ambayo vitendo vya unyanyasaji havikuwepo labda kama unamuogopa Kwame. Muogope Mungu sio mtu. Nenda ukaongozwe sala ya TOBA.

Kamanda mwenyewe alikuwa mzee wa totozi. Akifika kikosini lazima apewe either kuruta au matroni yeyote mwenye kupendeza ambaye hana mume kambini hapo. Hao mabinti hawakwenda kwake kwa kupenda bali kwa shuruti. RIP Mkuu wa JKT Mstaafu
kaka nachojua mimi watoto walienda wenyewe kwa hiari yao kulikuwa hakuna shuruti - hili nasema kwa uhakika. na kuna muda tulianza kuwatania baadhi ya maafande pale makutu kama - shemejiii...
ukitaka ushahidi ninao na tuliomaliza nao hasa waliokuwa danger-coy wataprove!!
 
RIP Kamanda.

Nakumbuka wakati ukiwa mkuu wa JKT.

Poleni sana wanafamilia.
 
Back
Top Bottom