TANZIA: Meja Jenerali Makame Rashid afariki dunia

TANZIA: Meja Jenerali Makame Rashid afariki dunia

Ameugua kwa muda mrefu sana ! RIP
Siku hizi hii lugha ya kuugua kwa muda mrefu haimaanishi ugonjwa wa upungufu wa kinga mwilini...Magonjwa yasiyo ya kuambukiza kutesa watu kwa muda mrefu sana
 
kaka nachojua mimi watoto walienda wenyewe kwa hiari yao kulikuwa hakuna shuruti - hili nasema kwa uhakika. na kuna muda tulianza kuwatania baadhi ya maafande pale makutu kama - shemejiii...
ukitaka ushahidi ninao na tuliomaliza nao hasa waliokuwa danger-coy wataprove!!

Haya ndugu yangu Fuso, kwa leo tushughulikie msiba, hili la ngono lazima JKT tunaweza lianzisha kesho. Kuruta walikuwa wanapelekwa kwa kwata kwenye mahanga ya maafande. Wakifika ndani amri zinakuwa: mguuu pande, mguu sawa! Kwa kuruka usawa wa kitanda ruka! Dada zetu walitii. kisha amri ya mwisho ilikuwa, TULIA!!!!!! Basi jamaa walijipakulia na walipo malisaga walifunikaga na kubaki na sambi sao
 
Mungu akupumzishe panapostahili Kamanda. Poleni sana wafiwa.
 
Innalillah wainallah rajiun!Mhh naona ile tsh 1bn ya mazishi ya viongozi inaanza kutumia au huyu haimuhusu?
 
R.I.P. Kamanda. Alikuwa mkuu wa kikosi nilipokuwa JKT Ruvu 1976. Askari wote tulimpenda.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
Kumbe wewe wa zamani mwenzangu kwani tulishea operation Mapambano - japo mimi niliihenyea Makutupora. RIP Kamanda Makame.
 
Kumbe wewe wa zamani mwenzangu kwani tulishea operation Mapambano - japo mimi niliihenyea Makutupora. RIP Kamanda Makame.

Ndio Mkuu, nilikuwa Operation Mapambano Ruvu JKT ukuruta, na u service nilifanyia Mgulani JKT.
 
Ameugua kwa muda mrefu sana ! RIP


Mara nyingi hawa watu wa umri mkubwa huwa wanaugua kwa muda mrefu maradhi ya prostate; kwahiyo ukisikia kaugua kwa muda mrefu sio lazima ukimwi!!
 
Inalilah Wainailayhi rajiun.


Sent from my EyePhone
 
Hata aliyekuwa Body guady wake Mzee Rama enzi zile tupo Jeshini naye alishafariki siku mingi sanaaa !
Pumzikeni kwa Amani nyoooote
body guard wake ndio yule alikuwa akipiga saluti ilikuwa ya mfano. Maafande wengine walikua wana admire salute yake
 
RIP kamanda.

Kwa wale tuliokuwa makutupora JKT - 1993 OP vyama vingi - mtakumbuka kamanda wetu alivyokuja kujiunga nasi wiki moja kabla ya kucheza parade (kwata) ya kuhitimu kwa niaba ya kambi zote; pia mtamkumbuka jinsi alivyofanya vikao vyetu (Yeye mwenyewe na sisi makukruta) kupeleleza kama kulikuwa na unyanyasaji ndani ya jeshi la JKT. Ikumbukwe that time wazazi walikuwa wana wasiwasi kwamba jeshi lina unyanyasaji wa kijinsia; hili tuli-prove kwa kamanda kwamba hatujaona kitu kama hicho.

Kwenye PASS OUT parade - Platoon A - Section A - Mstari wa mbele Kulia kulikuwa na mwanaye Kwame! Poleni wafiwa. kwa niaba ya wahitimu wa Makutupola JKT nawakilisha, maana kamanda huyu alikuwa ni mzazi, akitutembelea tu tulisema kila kitu pamoja na adhabu zisizo na mantiki, kichele kidogo (monthly allowance), nk

Mgeni rasmi kwenye kwata letu la kuhitimu alikuwa mzee wetu Mh. Malecela - wakati huo akiwa Waziri Mkuu wa JMT.

Hakika Fuso umenena yaliyosawia.. Kombania A' maarufu kama Canadian, ilikuwa moto wa kuotea mbali, hata mimi nilikuwa kombania hiyo, na hakika mwanaye Kwame alikuwa mstari wa mbele, Mzee wetu Makame alikuwa mfano wa kuigwa ,mwanaye alisota kama sisi wengine haikujalisha baba yake alikuwa mkuu wa JKT. Kwame pole sana sijui siku hizi yuko wapi huyu mtoto wake. Tumtakie pumziko jema ,Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi. Hakika tutamiss mawazo ya mzee huyu
 
waliokuwa makutpora operesheni Vyama vingi 1992/1993 kombania A bila shaka mnamkumbuka Afande Mwashamba!!! huyu jamaa alikuws kiboko kweli, kwa sasa ni marehemu, lakn alikuwa kamanda wa kikwelikweli na Afande Shija!!!!!
 
RIP kamanda.

Kwa wale tuliokuwa makutupora JKT - 1993 OP vyama vingi - mtakumbuka kamanda wetu alivyokuja kujiunga nasi wiki moja kabla ya kucheza parade (kwata) ya kuhitimu kwa niaba ya kambi zote; pia mtamkumbuka jinsi alivyofanya vikao vyetu (Yeye mwenyewe na sisi makukruta) kupeleleza kama kulikuwa na unyanyasaji ndani ya jeshi la JKT. Ikumbukwe that time wazazi walikuwa wana wasiwasi kwamba jeshi lina unyanyasaji wa kijinsia; hili tuli-prove kwa kamanda kwamba hatujaona kitu kama hicho.

Kwenye PASS OUT parade - Platoon A - Section A - Mstari wa mbele Kulia kulikuwa na mwanaye Kwame! Poleni wafiwa. kwa niaba ya wahitimu wa Makutupola JKT nawakilisha, maana kamanda huyu alikuwa ni mzazi, akitutembelea tu tulisema kila kitu pamoja na adhabu zisizo na mantiki, kichele kidogo (monthly allowance), nk

Mgeni rasmi kwenye kwata letu la kuhitimu alikuwa mzee wetu Mh. Malecela - wakati huo akiwa Waziri Mkuu wa JMT.

Mi nilikuwepo lakini Operesheni miezi sita kuanzia tar 1 July 1993 hadi Tar 23 Dec 1993. Namkumbuka sana enzi hizo alikuwa anapenda sana kuja pale Makutu kwenye mikutano ya Ma-COs ila ladies walikuwa wanamwogopa sijui kwa nini.

Nawapa R.I.P mliopitia mikononi mwake ktk kuondoa uzembe pamoja na wanafamilia
 
Back
Top Bottom