Habari za kuaminika Mkuu wa JKT Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Makame Rashidi amefariki usiku wa manane, hospitali ya Lugalo.
R.I.P. generali

KOmbania gani iyo? RIP Mzee vita ulivipiganaRIP kamanda. Kwa wale tuliokuwa makutupora JKT - 1993 OP vyama vingi - mtakumbuka kamanda wetu alivyokuja kujiunga nasi wiki moja kabla ya kucheza parade (kwata) ya kuhitimu kwa niaba ya kambi zote; pia mtamkumbuka jinsi alivyofanya vikao vyetu (Yeye mwenyewe na sisi makukruta) kupeleleza kama kulikuwa na unyanyasaji ndani ya jeshi la JKT. Ikumbukwe that time wazazi walikuwa wana wasiwasi kwamba jeshi lina unyanyasaji wa kijinsia; hili tuli-prove kwa kamanda kwamba hatujaona kitu kama hicho. Kwenye PASS OUT parade - Platoon A - Section A - Mstari wa mbele Kulia kulikuwa na mwanaye Kwame! Poleni wafiwa. kwa niaba ya wahitimu wa Makutupola JKT nawakilisha, maana kamanda huyu alikuwa ni mzazi, akitutembelea tu tulisema kila kitu pamoja na adhabu zisizo na mantiki, kichele kidogo (monthly allowance), nk Mgeni rasmi kwenye kwata letu la kuhitimu alikuwa mzee wetu Mh. Malecela - wakati huo akiwa Waziri Mkuu wa JMT.
msiba upo brbr ya Rose Garden karibu na kota za TPDC uliza kwa major General Makame
Mkuu naheshimu maoni na imani yako.Ndugu sema amlaze panapo mstahili kama ni peponi au kwingineko, vinginevyo ni kumpangia Mungu. Poleni sana wafiwa