Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Alikua team nani huyu?mbona team Lowassa wanapakatika hivi
 
Jamani mbona bunge linaendelea,spikaa hana taarif ya msiba?
 
Tatizo Yericko ni muongo sana hadi imefika point hata akisema ukweli inaonekana kama uongo vile.

Kwanza sijui kwanini hadi sasa Mods hawajampiga BAN huyu Yericko...maana amedanganya watu humu mambo mengi sana.
 
Tatizo Yericko ni muongo sana hadi imefika point hata akisema ukweli inaonekana kama uongo vile.

Kwanza sijui kwanini hadi sasa Mods hawajampiga BAN huyu Yericko...maana amedanganya waru humu mambo mengi sana.
Moderator inabidi wafatilie hii habari
 
Last edited by a moderator:
Rip Mbunge

Ila hili ni Tukio la pekee ...kila Mara wanaume Ndio wanakufa juu ya viuno lakini hii tofauti .....KITU SERENGETI BOY HICHO ...KIMEFANYA KAZI ....

NASIKIA SIKUKUU HIZI KUNA WIMBI KUBWA LA WABUNGE WAMAMA KUCHUKUA SERENGETI BOY WA UDOM ....
 
Back
Top Bottom