Tanzia: Mamndenyi kafiwa na baba yake mdogo

Tanzia: Mamndenyi kafiwa na baba yake mdogo

Kwa niaba ya tajiri Bishanga na mwanae Chimbuvu tunapenda kutuma salamu za rambirambi kwa mpendwa wetu Mamndenyi kwa kweli ni pigo kubwa alilolipata nasi tupo nae pamoja katika muda huu wa majonzi Mazito.pole kwa sasa haiwezi kukufuta machozi lakini ni kama njia ama namna ya kuonyesha tunavyokujali na kukuthamini.we luv you we care about you.

amen_logo.jpg
 
bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,
Pole sana mama yangu mungu akupe nguvu wewe na familia nzima tupo pamoja kiroho tunawaombea sana
 
Pole sana Mamndenyi kwa msiba huo mzito wa kufiwa na baba yako mdogo.

Mwenye enzi Mungu, mwingi wa rehema akutie nguvu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mamndenyi na wafiwa wote, mungu awape faraja na awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na aipumzishe roho ya maarehemu mahali pema peponi AMEN
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi pole sana kwa msiba
Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki na pia ailaze roho yake mahali pema peponi apumzike kwa amani
Pole sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom