Tanzia: Mamndenyi kafiwa na baba yake mdogo

Tanzia: Mamndenyi kafiwa na baba yake mdogo

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,333
Reaction score
17,874
Wandugu wote wana CC, MMU na JF kwa ujumla!

Kwa masikitiko makubwa, naomba kuwataarifu kuwa ndugu yetu, dada yetu, na mama yetu Mamndenyi amefiwa na baba yake mdogo huko Moshi.

Hivi ninavyoandika, yupo msibani Moshi

Kama ilivyo kawaida yetu tuungane kumwombea marehemu na pia kumpa pole Mamndenyi.

Bwana ametoa na Bwana ametoa jina lake lihimidiwe.
 
Last edited by a moderator:
May his soul R.I.P ..

Mungu azidi kuwapa nguvu mam Mamndenyi..
ye ndiyo anasababu ya kila kitu!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada,tulimpenda sana baba yetu lakini Mungu amempenda zaidi,Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi Amina.Bwana alitoa,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe!
 
Pole sana mama yetu Mamndenyi kwa kufiwa.
Roho ya baba mdogo ilazwe mahali pema amen.
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya tajiri Bishanga na mwanae Chimbuvu tunapenda kutuma salamu za rambirambi kwa mpendwa wetu Mamndenyi kwa kweli ni pigo kubwa alilolipata nasi tupo nae pamoja katika muda huu wa majonzi Mazito.pole kwa sasa haiwezi kukufuta machozi lakini ni kama njia ama namna ya kuonyesha tunavyokujali na kukuthamini.we luv you we care about you.

Pole sana Shoga ake Madame B.
Mungu atakuafu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom