TANZIA: Leticia Nyerere afariki dunia

TANZIA: Leticia Nyerere afariki dunia

Kwa kuwa aliisha jiondoa CHADEMA tangu july 2015, hivyo kutumia neno aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA sio mahala pake ni vema mkaandika aliyekuwa mwanachama wa CCM na msiihusishe CHADEMA kwani hadi mauti yanamkuta huyu alikuwa CCM.
Ha ha ha haa,hapana mdau,cheo chake cha mwisho ni UBUNGE VITU MAALUM kupitia CDM
 
We jua tu kafaa.akikuwa anaumwa nini unataka kumtibu? Haya alikuwa anaumwa tumbo
 
Kifo kikifika bana hata uende wapi! Apumzike kwa amani.
 
Kwa kuwa aliisha jiondoa CHADEMA tangu july 2015, hivyo kutumia neno aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA sio mahala pake ni vema mkaandika aliyekuwa mwanachama wa CCM na msiihusishe CHADEMA kwani hadi mauti yanamkuta huyu alikuwa CCM.
Umeongea point kuna watu humu bila kuitaja chadema hawalali
 
Napiga Pole Sana Kwa Familia, Ndugu, Jamaa, na Marafiki. Mungu Atoae Faraja Awajaze Faraja Familia Yake.
 
Back
Top Bottom