R.I.P Leticia. Alikuwa na kibali cha Pombe?RIP Leticia. Mungu amekuchukua ukiwa umerejea katika njia ya kweli
Kwan alishatangazwa tena mkuuDah huyu mama kila siku anatangazwa kafa vipi ukiitwa nyerere lazima kifo chako kiwe cha utata tu ??
Kila leo watu walikua wanakuja na habari za kifo chakeKwan alishatangazwa tena mkuu