Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

Msiba si fashion show.Msiba unatakiwa uwe ukweni hata kama hao wakwe wanakaa kibanda cha nyasi na malofa wa kutupwa.Msiba kufanyika kwa Lema ni utekaji nyara wa maiti,msiba na michango ya rambi rambi.

Ndo tatizo la wabongo msiba wanataka waupeleke kwenye nyumba nzuuuri hata kama kwa uncle
 
habari za kipuuzi hizi......... me mwenyewe nimefiwa na mbwa wangu maziko kesho mnakaribishwa wote.
 
Back
Top Bottom