Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

Mzee anza sentesi zako kwa umakini. Kichwa cha habari na mwanzo wa sentensi vimenitisha. Imekuwa kama magazeti ya udaku!!

Pole sana Kamanda Godbless Lema kwa Msiba wa mzaa chema. Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu wa kuomboleza kifo cha mama mkwe wako.

pole sana kamanda RIP MAMA YETU
 
Leo Ufipa bendera inapepea nusu mlingoti Mungi Crashwise wanafunga turubai na kubebeshwa majamvi
 
Last edited by a moderator:
yaan we ni mtu mpuuzi kuliko wote hapa JF,Unaleta masikhara kwenye jambo la huzuni.

Usinitukane,hapa tunaombeleza kosa langu lipi? wewe unafikiri makamanda watakuja bila ya kuwahamasisha.
 
Asante MSALANI kwa kuonyesha moyo wa huruma. Kutoa ni moyo sio utajiri. Ona wewe pamoja na mapato yako kuwa madogo yaani Buk7 per day lakini uko radhi kuchangia msiba kwa moyo mweupe. Au mkuu nawe umepata mgao ule wa Pinda tuliosikia kuwa amegeuka ATM ya chama kuu.

Pesa za harambee ya M4C zinatosha kuupumzisha mwili wa mama mkwe.Acha zile za ujenzi wa hospitali na trekta.
 
Last edited by a moderator:
Mama apumzike kwa amani, pole First Lady wetu Neema, Pole Mh. Mbunge kwa kufiwa na mzaa chema
 
Asante MSALANI kwa kuonyesha moyo wa huruma. Kutoa ni moyo sio utajiri. Ona wewe pamoja na mapato yako kuwa madogo yaani Buk7 per day lakini uko radhi kuchangia msiba kwa moyo mweupe. Au mkuu nawe umepata mgao ule wa Pinda tuliosikia kuwa amegeuka ATM ya chama kuu.

mh! tuchange tena..!! wale waliochangiwa wakati ule mbona tuliwasikia wakilia hawajapata kitu au ni mchango gani unaozungumziwa..!?
 
Last edited by a moderator:
Poleni kwa msiba, ila mleta taarifa ungeomba msaada kwa mwenye kujua kuandika ili taarifa iandikwe kwa ufasaha....umebanangabanaga sana.
 
Mh, Mbunge Wa jiji LA Arusha kamanda Godbless j lema usiku Wa kuamkia leo tarehe 22/10/2014, mama mkwe Wake aliaga dunia, msiba utafanyikia Njiro nyumbani Kwa Mh. G Lema name mazishi ni Jumamosi. Makamanda twendeni Kwa wingi tukamtie joto, hakika sisi sote nimalejea.

Poleni lakini Kimila msiba wa mkwe huwa unafanyika kwa wakwe wenyewe.Hii ya kufanyika kwa Lema sijaelewa ina maana michango tumpelekee Lema au tupeleke upande wa wakwe? Naogopa hela za rambi rambi zisije ishia mikono isiyo salama.
 
Poleni wafiwa Mungu awape uvumilivu kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa mama yenu.
 
Poleni lakini Kimila msiba wa mkwe huwa unafanyika kwa wakwe wenyewe.Hii ya kufanyika kwa Lema sijaelewa ina maana michango tumpelekee Lema au tupeleke upande wa wakwe? Naogopa hela za rambi rambi zisije ishia mikono isiyo salama.

Mkuu umesahau kuwa uchaguzi unakaribia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom