Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,888
- 1,867
Pole lema
Poleni lakini Kimila msiba wa mkwe huwa unafanyika kwa wakwe wenyewe.Hii ya kufanyika kwa Lema sijaelewa ina maana michango tumpelekee Lema au tupeleke upande wa wakwe? Naogopa hela za rambi rambi zisije ishia mikono isiyo salama.
Mkuu kwani msiba Mara nyingi watu si huwa wanaupeleka sehemu kidogo yenye nafasi na hata kwenye nyumba ya kueleweka
Msiba si fashion show.Msiba unatakiwa uwe ukweni hata kama hao wakwe wanakaa kibanda cha nyasi na malofa wa kutupwa.Msiba kufanyika kwa Lema ni utekaji nyara wa maiti,msiba na michango ya rambi rambi.
Mkuu kwani msiba Mara nyingi watu si huwa wanaupeleka sehemu kidogo yenye nafasi na hata kwenye nyumba ya kueleweka
Hivi unapesema msiba mkubwa unamaanisha nini, mimi navyojua msiba mkubwa ni vifo vya watu wengi kwa pamoja.
Poleni sana wafiwa.
Mh, Mbunge Wa jiji LA Arusha kamanda Godbless j lema usiku Wa kuamkia leo tarehe 22/10/2014, mama mkwe Wake aliaga dunia, msiba utafanyikia Njiro nyumbani Kwa Mh. G Lema name mazishi ni Jumamosi. Makamanda twendeni Kwa wingi tukamtie joto, hakika sisi sote nimalejea.
Mbona alipokufa Sheikh Ilunga wewe ulisema hapa kuwa ni MSIBA MKUBWA?Hivi unapesema msiba mkubwa unamaanisha nini, mimi navyojua msiba mkubwa ni vifo vya watu wengi kwa pamoja.
Poleni sana wafiwa.
Dua mbaya ya kuku kwa mwewe,ndo inamfanya mwewe aishi siku nyingi.Kwa hilo sawa ila angekuwa ni G lema mwenyewe tungemfukia kwa zege la kujengea madaraja hata cku ya ufufuo asitoke .