breki sifungi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 694
- 409
mwenye enzi Mungu amrehem mama, amsamehe dhambi zake kwe rehema zake ktk kristo yesu mfufuka, amen, pole kamanda!
First lady Chadema wapo wangapi? Mke wa Mbowe, au mke wa Dr.Slaa?Mama apumzike kwa amani, pole First Lady wetu Neema, Pole Mh. Mbunge kwa kufiwa na mzaa chema
Mh, Mbunge Wa jiji LA Arusha kamanda Godbless j lema usiku Wa kuamkia leo tarehe 22/10/2014, mama mkwe Wake aliaga dunia, msiba utafanyikia Njiro nyumbani Kwa Mh. G Lema name mazishi ni Jumamosi. Makamanda twendeni Kwa wingi tukamtie joto, hakika sisi sote nimalejea.

Kwa hilo sawa ila angekuwa ni G lema mwenyewe tungemfukia kwa zege la kujengea madaraja hata cku ya ufufuo asitoke .
Mods hebu weka sawa hii thread maana uzi unasema mama mzazi lakini maelezo ndani ni mama mkwe.
Hivi unapesema msiba mkubwa unamaanisha nini, mimi navyojua msiba mkubwa ni vifo vya watu wengi kwa pamoja.
Poleni sana wafiwa.
Asante MSALANI kwa kuonyesha moyo wa huruma. Kutoa ni moyo sio utajiri. Ona wewe pamoja na mapato yako kuwa madogo yaani Buk7 per day lakini uko radhi kuchangia msiba kwa moyo mweupe. Au mkuu nawe umepata mgao ule wa Pinda tuliosikia kuwa amegeuka ATM ya chama kuu.
Kwa hilo sawa ila angekuwa ni G lema mwenyewe tungemfukia kwa zege la kujengea madaraja hata cku ya ufufuo asitoke .
Mh, Mbunge Wa jiji LA Arusha kamanda Godbless j lema usiku Wa kuamkia leo tarehe 22/10/2014, mama mkwe Wake aliaga dunia, msiba utafanyikia Njiro nyumbani Kwa Mh. G Lema name mazishi ni Jumamosi. Makamanda twendeni Kwa wingi tukamtie joto, hakika sisi sote nimalejea.
Au amekalia kalamu yenye kutoa wino mweupe!Vipi dada umekalia nyama laini iliyochongoka kwa mbele??
Hapo majani makali ya Ordonyosambu hayakosi. Pole sana.Viroba vya kumwaga vitakuwepo.Karibuni sana