Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

baharia Ar

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
837
Reaction score
316
Mh, Mbunge Wa jiji LA Arusha kamanda Godbless j lema usiku Wa kuamkia leo tarehe 22/10/2014, mama mkwe Wake aliaga dunia, msiba utafanyikia Njiro nyumbani Kwa Mh. G Lema name mazishi ni Jumamosi. Makamanda twendeni Kwa wingi tukamtie joto, hakika sisi sote nimalejea.
 
Viroba vya kumwaga vitakuwepo.Karibuni sana
 
Mh, Mbunge Wa jiji LA Arusha kamanda Godbless j lema usiku Wa kuamkia leo tarehe 22/10/2014, mama mkwe Wake aliaga dunia, msiba utafanyikia njiro nyumbani Kwa Mh G lema name mazishi no jumamosi makamanda twendeni Kwa wingi tukamtie joto, hakika sisisote nimalejea

Mzee anza sentesi zako kwa umakini. Kichwa cha habari na mwanzo wa sentensi vimenitisha. Imekuwa kama magazeti ya udaku!!

Pole sana Kamanda Godbless Lema kwa Msiba wa mzaa chema. Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu wa kuomboleza kifo cha mama mkwe wako.

 
Hivi unapesema msiba mkubwa unamaanisha nini, mimi navyojua msiba mkubwa ni vifo vya watu wengi kwa pamoja.

Poleni sana wafiwa.
 
  • Thanks
Reactions: gsu
Poleni sana wanafamilia,hakika siku nilipo onana na mama huyo nilivutiwa na uelewa wake mpana wa mambo!yaani kutwa zima anasoma magazeti tena mwananchi,mawio na jamii forum alikuwa anaperuzi sana....aliniambia yeye alikuwa kati ya watanzania 20% walipiga kura ya ndiyo ujio wa vyama vingi wakati watz wengi njaa walipiga ya hapana.....rest in peace our mom.
 
Hivi mkifiwa nyie hawa viongozi wenu nao wanakuwa kama nyie??!!!

RIP mama
 
duh!,nilidhani "bilioniya"mwingine kadondoka

RIP mama mkwe wa G.Lema
 
Poleni sana makamanda lakini mipango ya maandalizi serikali za mitaa ziendelee kwa nguvu zote. Mkishatoa pole kwa Kamanda Lema endeleeni kwa kasi ileile kuweka mazingira ya FUTA CCM ARUSHA ifanikiwe kwa asilimia mia moja!
 
Wekeni namba ya MPESA tuchangie msiba.

Asante MSALANI kwa kuonyesha moyo wa huruma. Kutoa ni moyo sio utajiri. Ona wewe pamoja na mapato yako kuwa madogo yaani Buk7 per day lakini uko radhi kuchangia msiba kwa moyo mweupe. Au mkuu nawe umepata mgao ule wa Pinda tuliosikia kuwa amegeuka ATM ya chama kuu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom