Tanzia kwa mwl Mbise a.k.a Mkuda katutoka

Tanzia kwa mwl Mbise a.k.a Mkuda katutoka

RIP mwl wangu mbise,kifaa kimetutoka.Mti msafi oyeeeeeeee,tulianzishaga Umbwe Giants Club dar,inasikitisha kuwa watu hawakuitika vema.
 
RIP Mbise mwalimu wangu wa English kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne mkondo C madarasa yaliyokuwa karibu na temperature room/HGE class. Ilikuwa 1995-1998. Enzi za H/master Tango na Alex Mselle, Mallya wa Geography a.k.a Lobilo, Tesha wa Civics a.k.a Chinga boy, Kimaro wa Kiswahili a.k.a Mchemfu, bila kumsahau Mwl San Abacha. Mwenyekiti wa bodi ya shule mzee
John Nyongo fisadi wa michango ya Jenereta la shule, sijui kama lilikwishanunuliwa manake newcomers wa form one na form five walikuwa wakichangia buku 15000 wanapojiunga na Umbwe secondary miaka ya 1990's
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom