TANZIA: JF Rock City Wing

pole sana ram Mungu mwenye faraja na rehema nyingi akutangulie.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
My condolence.
ram, Mungu akupe faraja ya kweli na ya kudumu. Ukitoka Singida masaa 3 uko A-town.

Asante charminglady kwa taarifa elekezi na isiyopinda.
Uko njema sana kwa Logistico!
 
Last edited by a moderator:
ni masikitiko yangu kuwa kwa sasa nipo shinyanga na ninaumwa typhoid bila shaka ningekuwa mstari wa mbele kabisa kuhakikisha natoa ushirikiano kwa mwenzetu. charminglady pamoja sana mkuu wangu.pia natoa pole kwa wafiwa akiwemo ram

Pamoja sana mkuu Slave, asante kwa pole!!!!
 
Last edited by a moderator:
Madame charminglady tafadhali peleka rambirambi zangu za pole kwa ram na familia yake yote kwa msiba huu mkubwa. Mungu awape faraja kuu
 
Reactions: ram
Pole sana dada yangu ram. Mungu amuweke mahari pema bibi yetu mpendwa. mia
 
Last edited by a moderator:
Thread ya Novemba,2013 huenda kipindi hicho hakuuona japo kwa Kiswahili husema unahani msiba inakubalika sana Bongo hii.
 
Jamani poleni kwa msiba ram
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Nimeipenda hii, hata hivyo kibongo bongo msiba huwa haushi, unakuja kuhani hata kama mwaka utakuwa umepita, ahsante mwaya amu

Ngoja nami nihani msiba.
Pole my dia ram
 
Last edited by a moderator:
Japo uzi wa mwaka Jana nami natoa pole kwa mfiwa, pole sana ram duniani sote tunapita tu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…