TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Hivi alikuwa Askofu (Barua ya Ikulu) au Mchungaji (barua ya bunge)? Au hivyo vyeo viwili havina tofauti?
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye tutarejea.
we belong to God and to Him we shall return.
 
Dunia ovyo sana hivi nhuyu si ndie aligoma or walimuogopa kuvunja nyumba yake ila ailizidi mbwembwe!
 
Tanzania Assemblies of God sio kanisa la kata, ni kanisa kubwa sio tu Tanzania bali ulimwengu mzima, kanisa hili lina misingi kamili na imara lakini huyu mtumishi alichepuka na kulifanya lake kuwa ministry baada ya kujijenga. Huwenda likarudishwa kwa kanisa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Naweka kumbukumbu sawa Mikocheni Assemblies of God aka Mlima wa Moto haikuwa chini ya Tanzania Assemblies of God.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweka kumbukumbu sawa Mikocheni Assemblies of God aka Mlima wa Moto haikuwa chini ya Tanzania Assemblies of God.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu. Unapotosha watu, huyu mama alikuwa mchungaji wa Tanzania Assemblies of God kabla hajajiondoa na kuandika Mikocheni B Assemblies of God. Baada ya kuwa na kanisa kubwa na miradi ya kanisa, alijiondoa kwasababu kwa mujibu wa TAG unatakiwa kukabidhi hati ya ya jengo la kanisa pamoja na miradi makao makuu ili iwe mali ya TAG.
 
thats it, Mungu hapangiwi, mind you ukiwa CCM umeshiriki vikao vya uuaji, ALPHONCE MAWAZO, AZORY, KANGOYE, MDUDE, LISSU, SAA NANE ,aah hiyo Damu hata ukimbilie wapi kujificha Mungu ataleta upepo wa Corona ukuondoe tu, Mungu ameshindwa kuvumilia , kikombe kimejaa,
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.....kuna haja ganinya kufukua makaburi! Tuwasindikize waliotangulia tukumbuke pia na sisi tu njia moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa binadamu yakikushinda usimeze pini, call a spade a spade. Hata Moi alipokufa Koigi Wamwere uzalendo ulimshinda akasema hawezi kamwe kumsamee Moi kwa unyama aliyomfanyia, akasema tutasameana huko mbinguni lkn sio hapa duniani.

Kuna watu wanawafanyia wenzao unyama mbaya sana wakifikiri wenyewe wana Death Proof lkn wapi.

Huyu mama majuzi tu alimuombea Zitto anyongwe kwa kuiomba WB wasiipe Tanzania mkopo wa elimu kufuatia sera mbovu ya Magufuli ya kupinga wanafunzi wajaa wazito kuendelea na masomo.

Mungu atajua wapi pa kumuweka kulingana na mapenzi yake. Amin.
Ndugu epuka kuongozwa na hisia,tafuta hiyo thread hapa JF kisha based kwenye ile video yemye Sec 16,angalia ni wapi kuna mbunge aliomba Zitto auawe,ukiweza tafuta post yangu nilielezea vizuri,mwishoni kila aliyeongea alitoa maoni yake nini kifanyike hakuna aliyesema Zitto auawe.Wewe umesema uongo na huna tofauti na aliyeiba au aliyeua kwa sababu aliyesema usiibe ndiye aliyesema usiseme uongo.
Kitu kinge muwe matured enough ,wewe unajuaje kwa makosa yote aliyoyafanya,je hakuomba toba au aliomba?Je toba yake Mungu aliiipokea au hakuipokea?Kwa hiyo nakubaliana na wewe uliposema Mungu amuweke kulingana na mapenzi yake lakini hayo ya mwanzo si sahihi.
Mbinguni hakuna muda wa kusameheana,biblia iko wazi baada ya kifo ni hukumu,na mshahara wa dhambi ni mauti,hapa haiongelewi mauti ya kwanza bali ya pili kwani hii ya kwanza hata watakatifu inawahusu.Muwe makini usiige kuna watu hapa mitandaoni wana agendazao sasa usiwe mwepesi kisa fulani amesema.Wewe unajua nyuma ya pazia kuna nini?Chunguza vitu na usiwe mwepesi wa kuandika au kuongea kwa suala ambalo huna uhakika nalo.
Tunasameheana hapa duniani na Mugu ukiomba msamaha ni hapa duniani mbinguni ukifa ni hukumu kisha unapelekwa kule ulikochagua kwenda ukiwa uko hai.Kama uliishi maisha ya dhambi unajua utakakoenda na kama uliishi maisha ya kujitenga na dhambi pia utapelekwa unakostahili.Kwa hiyo huyo Koigi Wamwere anahitaji kufahamisha,kwa mujibu wa biblia Yesu aliwaambia watu "samehe saba mara sabini" hapa duniani.Tunaomba msamaha tukiwa hapa duniani ,ukifa unavuna ulichopanda.
 
Pole sana mkuu. Unapotosha watu, huyu mama alikuwa mchungaji wa Tanzania Assemblies of God kabla hajajiondoa na kuandika Mikocheni B Assemblies of God. Baada ya kuwa na kanisa kubwa na miradi ya kanisa, alijiondoa kwasababu kwa mujibu wa TAG unatakiwa kukabidhi hati ya ya jengo la kanisa pamoja na miradi makao makuu ili iwe mali ya TAG.
Ndugu sasa hapo tusaidie kuweka sawa,umesema alikuwa TAG baadaye akajiondoa,na huyo jamaa uliyemjibu yeye anasema Mlima wa Moto haikuwa chini ya TAG mpaka wkati huu na siyo haijawahi kuwa chini ya TAG,mimi naona yeye yuko sahihi na wewe umeprove kwa sababu umesema mama alijiondoa TAG.Sasa hapo yeye anapotoshaje watu?Au nikuulize hilo kanisa liko chini ya TAG?Mimi binafsi nakubaliana na huyo uliyemjibu Vyamavingi ingawa nilitamani nifike kwenye hilo kanisa nijue je ni sehemu ya TAG au lile neno Mikocheni B Assemblies of God linawachanganya watu.
 
Ila watanzania jamaniiiiiii
IMG-20200421-WA0012.jpeg
 
Back
Top Bottom