R.I.P BRO MBUZA
nimesoma nae Sangu Sec yeye na mdogo wake tumemaliza pamoja alikua kiongozi Shuleni, Tumekuja kukutana tena Chuo Iringa University Zamani Tumaini - Iringa yeye na mdogo wake tumemaliza pamoja wakaunga Masters MBA hapo hapo.
kuhusu ujasiriamali kaanza zamani tangu mi nipo shule O level Sangu Sec ye ni mpambanaji akijihusisha na u promota, studio ya muziki, anapigisha mziki disko, udj alikafungua Library, akaja ajiliwa mtangazaji radio Mbeya FM/Generation FM either of these na kipindi hicho ndio alikuja kuanza advance pale Sangu tukakutana tena akiwa anafanya kazi zake huku anasoma,
wakati tupo chuo alifungua radio yake Sweet Fm changamoto zilikua nyingi iliungua Studio yake akavuka vikwazo akaendelea baada ya kuachana nae chuo sijaonana nae kwa muda mrefu mpaka leo nasikia kafariki.
ni mfano wa wajasiriamali nao wajua waliotoka kwenye poor back ground na kufanikiwa na siku zote nilikuwa napenda kumwambia au kuwaambia jamaa tuliosoma nao Mbuza akiandika kitabu kueleza alikopita na alipo leo kitauza sana na wengi wa watanzania wangependa kujifunza kutoka kwake.
kuhusu siasa sina comments ila kaingia kwenye siasa baada ya kufanikiwa na harakati zake na ilikua kama protection pili anakubarika.
mwenye taarifa juu ya chanzo cha kifo chake atujuze.
ila imeniuma.. gone too soon..
Ooh Yes, seems unamjua vyema. He was my home-hood too. Was real fighter and strong kwa anachokiamini.
Alikuwa ni mkubwa kwangu but nakumbuka alikuwa anapenda sana shule. Nilimtangulia madarasa but hakuwahi kukata tamaa.
Naipa pole familia yake (daughter wake, karen na mdogo wake Michael na Bro wake Oscar).
Through him, nimeamini life is too short.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe. Amina.
Mbuzax msiba wako ni pigo sana kwangu. Nakumbuka tulivyokuwa pamoja utotoni tukiinjoy ujana kwa matamasha mbalimbali mjini Mbeya. Kuanzia Mbeya club, youth center na Nbc hall
Jogoo alikula mbegu mbili. Pole maccm wote aaah!
Inaonekana kuku alidonoa mahindi matatu tu.
R.I.P kijana tutakukumbuka sana
inalekea kuku alikula mbegu chache sana
BABU aliyemuasi mungu atalala pema?
mbona sielewi kitu