TANZIA: Emmanuel Joseph Mbuza (Mbuzax) Afariki Dunia

TANZIA: Emmanuel Joseph Mbuza (Mbuzax) Afariki Dunia

Mbuzax msiba wako ni pigo sana kwangu. Nakumbuka tulivyokuwa pamoja utotoni tukiinjoy ujana kwa matamasha mbalimbali mjini Mbeya. Kuanzia Mbeya club, youth center na Nbc hall

Growing up together!
 
Alikuwa Mchizi wangu sana, Na leo hii tulikuwa tukutane kuongelea swala la TV yake. RIP
 



My take: Ameondoka mapema sana. Mungu amlaze mahali pema peponi.Ni njia ambayo wote tutaipitia


Yah nikweli kijana tumempoteza Mbuza sio jina geni kwa vijana tuliosoma pale mby si sangu wala Meta na Hostelers wa DSA those days now TIA watamkumbuka sana kama Gabriel Mwakyilu, Aziz Chonya,John Kassongo,Sakwela Nyanginywa,Jamali, Andrew Mang'enya, Abraham Sajile na wengine wengi mshikaji alikua mc mzuri na mobilizer anayejua kuweka watu katika jumuiya moja sema tu huko alikoenda na jezi yake katika pic iliyowekwa humu ndio shida all in all R.I.P Mbuzax
 
duuh jamaa nilimsikia miaka ya 2000 mbeya huko,kweli alikuwa akijihusisha na miziki,rest in eternal peace MBUZAX!😔😔


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom