TANZIA: Emmanuel Joseph Mbuza (Mbuzax) Afariki Dunia

TANZIA: Emmanuel Joseph Mbuza (Mbuzax) Afariki Dunia

Masonjo

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2010
Posts
2,724
Reaction score
1,119
MKURUGENZI WA SWEET FM MBEYA EMANUEL JOSEPH MBUZA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUMKIA LEO


EMMANUEL JOSEPH MBUZA. Mhitimu wa Sangu High school(2007), aliyewahi kuwa Mfanyakazi wa Mbeya FM na generation FM, LLB & Masters ya sheria Tumaini University, Kijana mjasiliamali na mpiganaji, Katibu mwenezi wa mbeya mjini CCM, Mkurugenzi wa Sweet fm Radio, Sweet Televission na Action Mart Group of companies (Mzaliwa wa Mbeya aliekuwa anafanya biashara zake jijini Dar es salaam) Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake Tabata - Dar es Salaam.


My take:
Ameondoka mapema sana. Mungu amlaze mahali pema peponi. Ni njia ambayo wote tutaipitia
 
alikuwa katibu mwenezi wa chama gani? weka xawa mkuu
 
Umemsifia mnno na hujaeleweka vizuri....
 
kwani unakimbizwa!? Elezea mazingira ya kifo chake. Tatizo nini mpaka anafariki?
 
RIP mjasiriamali,nimecheki kweli kaondoka mapema lakini kwa Mungu kuishi kwingi si umri wa miaka bali ni utimilifu wa maisha ya mtu hapa Duniani,atakuwa kampendeza Mungu katika staili ya kuishi kwake,sasa kaamua amtoe mapema ili Magamba wenzie wasimuharibu,may be kina Nchemba walikuwa wanajianda wampe kikosi cha kuongoza greenguards huko Mbeya kuwatesa wapinzani.
 
Kila mtu ataonja mauti hivyo ni bora wafao katika bwana kwani watapewa taji ya ushindi huko waendako

je mwenzangu umejiandaaje kabla hujafa?
 
INATEGEMEA ALIKUFA KUFAJE KAMA ALIKUFA YU ANA MUNGU ATALAZWA PEMA KAMA ALIKUFA :A S-eek: BASI ATARAJIE HUKUMU YA MILELE
hakuna hata intarahamwe mmoja atakaelazwa pema, makazi yenu ya kudumu ni jehanamm
 
Back
Top Bottom