Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,057
- 285,660
BABU aliyemuasi mungu atalala pema?
ukizidi kumfuatafuata DR SLAA HAKIKA UTAPATA STROKE KALI SANA ! MAANA KWA JITIHADA ANAZOZIFANYA KATIKA UKOMBOZI WA NCHI HII HAFEDHEHEKI WALA HAUMBULIKI !
BABU aliyemuasi mungu atalala pema?
Lala salama Mbuza.
Dah huyu jamaa aisee ..... mungu amlaze mahala pema peponi .... ila mkuu tuambie mazingira ya kifo chako tafadhali
R.I.P BRO MBUZA
nimesoma nae Sangu Sec yeye na mdogo wake tumemaliza pamoja alikua kiongozi Shuleni, Tumekuja kukutana tena Chuo Iringa University Zamani Tumaini - Iringa yeye na mdogo wake tumemaliza pamoja wakaunga Masters MBA hapo hapo.
kuhusu ujasiriamali kaanza zamani tangu mi nipo shule O level Sangu Sec ye ni mpambanaji akijihusisha na u promota, studio ya muziki, anapigisha mziki disko, udj alikafungua Library, akaja ajiliwa mtangazaji radio Mbeya FM/Generation FM either of these na kipindi hicho ndio alikuja kuanza advance pale Sangu tukakutana tena akiwa anafanya kazi zake huku anasoma,
wakati tupo chuo alifungua radio yake Sweet Fm changamoto zilikua nyingi iliungua Studio yake akavuka vikwazo akaendelea baada ya kuachana nae chuo sijaonana nae kwa muda mrefu mpaka leo nasikia kafariki.
ni mfano wa wajasiriamali nao wajua waliotoka kwenye poor back ground na kufanikiwa na siku zote nilikuwa napenda kumwambia au kuwaambia jamaa tuliosoma nao Mbuza akiandika kitabu kueleza alikopita na alipo leo kitauza sana na wengi wa watanzania wangependa kujifunza kutoka kwake.
kuhusu siasa sina comments ila kaingia kwenye siasa baada ya kufanikiwa na harakati zake na ilikua kama protection pili anakubarika.
Hivi kitendo cha mtu kuwa mwana ccm kinatosha kumpeleka motoni?
All the best Mbuza in your new life!
Bado kuna aina ya vijana kama huyu wako wanaiamini CCM karne hii!!!