R.I.P MAREHEM
haya magari ya automatic mm nayachukia na nitaendelea kuyachukia sana aisee..yanawaua sana vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa letu.
Doh, RIP Edwin. Bado namkumbuka mdogo wako Fred ambaye nae alifarik kw ajali mwaka 2010 hapa Rose garden, dsm. It was so sad, coz dogo ndo alirud tu from china kuja kufunga ndoa yake, akafa wiki moja tu kabla ya harus yake. kabla hata machungu hayajafutika kbs kw familia, mara tena anaondoka Edwin. Realy unbelievable!! Mungu awape faraja.
namfahamu huyu kaka wa multimodol walikuwa na ofisi pale AICC Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
R.I.P MAREHEM
haya magari ya automatic mm nayachukia na nitaendelea kuyachukia sana aisee..yanawaua sana vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa letu.
aisee, Fredy aliniuma sanaaa, alikuwa mcheshi sanaaa, hana pozi kabisaaa jamani, Mungu ampumzishe salama,Edwin tena jamani ndio kanichosha, sijui inakuwaje jamani, kama ni majaribu basi huyu mama anayapata, Mungu tu amsaidie, kijana aliebaki ndio huyo chapombe, kwa maneno yaliyokuwepo kuanzia msiba wa Fredy mama Mlay anatakiwa asawazishe mambo jamani! RIP Edwin.
namfahamu huyu kaka wa multimodol walikuwa na ofisi pale AICC Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Asawazishe nini tena ?
bado ipo! na Edwin ndio anaiendesha.
kumbe ile ofisi bado ipo! Ni ya longi saaana, Mungu awape faraja jamani Brenda amebakiza kaka mmoja! Too bad