Nimeuliza hivyo kwa kuwa namjua kupitia kampuni yake waliwahi kulinda kwangu wakati naishi Moro. Wenye kumjua wamesema ni yeye. Nimewapigia simu pia na nitawarushia ya ubani sitaishia kusema pole hapa JFwe toa pole..hayo mengine ukiyajua hayatakusaidia chochote.
zipi?\
1. Evod Mmanda
2. Mzee Pangia?
3. Na huyu
Namfahamu aisee. Mwenyezi Mungu amrehemu
Ni CCM?Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Isihaka Sengo amefariki dunia leo, Aprili 27, 2020 katika Hospital ya Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA). Imeelezwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na kisukari na shinikizo la damu
Alikuwa ni Diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege iliyopo ndani ya Manispaa
Alikuja akiwa na hali gani?Halafu wasisingizie Sua kaja saa 6usiku kafa saa kumi hakuwa amelazwa sua
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
Bonge la pointalafu uzuri wenywe hakuna pa kukimbilia.
walizoe kukimbilia south africa mara sijui apolo india lkn sasa hii ngoma tunaicheza wote hapa hapa masikini na matajiri mpaka kieleweke
Sent using Jamii Forums mobile app
Na toka watu wafahamu hospitali hakuna huduma wanajitibu nyumbani.tuKwa hiyo siku hizi..hutibiwi mpaka vipimo vya coona..virudi? huu ugonjwa ni shida..wa kiumeni khasa..
Sent using Jamii Forums mobile app