TANZIA: Diwani kata ya Kiwanja cha Ndege Morogoro, Isihaka Sengo afariki Dunia

Tuongeze bidii katika kupambana na Covid19. Nawa mikono Mara kwa Mara, punguza mizunguko, epuka mikusanyiko, tulia nyumbani na zingatia Ushauri wa wataalam wa Afya
 
Naibu Meya Manispaa ya Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Isihack Sengo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Aprili 27, 2020 mkoani Morogoro.



Asante sana kwa taarifa!leo minguo ya kijani itatawala balaa !👊
 
Back
Top Bottom