TANZIA: Diwani kata ya Kiwanja cha Ndege Morogoro, Isihaka Sengo afariki Dunia

Hmm, mbona mambo mazito hivi mwaka huu!

Wahenga walisema: "MFICHA MARADHI MSIBA UTAMWUMBUA!"
Katika kipindi Cha mwezi tu naona Makada wa Chama FULANI wanazidi kupukutika....Hulu mkulu wa kaya kajichimbia maeneo fulanifulani akila kuku kwa mrija....!!!
RIP N/Meya😭😭
 
Maana kama siyo ugonjwa,basi utakufa kwa presha za biashara kukwama.Hivyo ni vema ulale na mtu wa karibu unapoamka muanze kuhojiana mlipo ni wapi!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!

Signature yako🤣🤣🤣
 
Kabisa pressure zitatuua sana 2020
 
Vifo vitaongezeka sana tena vya hawa wanasiasa. Mungu awapumnzishe kwa amani.
 
Back
Top Bottom