TANZIA: Diwani kata ya Kiwanja cha Ndege Morogoro, Isihaka Sengo afariki Dunia

DAGAA WA MWANZA

Senior Member
Jan 27, 2019
169
464
Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Isihaka Sengo amefariki dunia leo, Aprili 27, 2020 katika Hospital ya Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA). Imeelezwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na kisukari na shinikizo la damu

Alikuwa ni Diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege iliyopo ndani ya Manispaa

Facebook(5).png


 
Naibu Meya Manispaa ya Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Isihack Sengo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Aprili 27, 2020 mkoani Morogoro.
 
Back
Top Bottom