TANZIA: Diwani kata ya Kiwanja cha Ndege Morogoro, Isihaka Sengo afariki Dunia

we toa pole..hayo mengine ukiyajua hayatakusaidia chochote.
Nimeuliza hivyo kwa kuwa namjua kupitia kampuni yake waliwahi kulinda kwangu wakati naishi Moro. Wenye kumjua wamesema ni yeye. Nimewapigia simu pia na nitawarushia ya ubani sitaishia kusema pole hapa JF
 
Kwanini tunapenda ku sympathize kwa watu maarufu maarufu tu wakati kufa wanakufa watu wa kila aina?
 
Azam News

#TANZIA

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Isihaka Sengo amefariki dunia leo Aprili 27, 2020 katika Hospital ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).

Meya wa Manispaa ya Morogoro Paschal Kihanga amethibitisha.

1587980264698.png
T

#AzamTVUpdates
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom