Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 983
- 207
RIP Sister...
Hasara kubwa wamepata wazazi wakoView attachment 1180177
HapanaMkuu, je, na huyu nae kakutana na mkono wa Mungu kama yule kiongozi wa wasiojulikana?
Mfalme hakaliwi juu! Walisitisha zoezi baada ya Mh Rais kutoa pole kwa ujumla, isingekuwa jambo la busara kuona ya Mh Rais haitosheleziAsante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Undugu umeanza lini?
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa morogoro aliyekufa kwa mlipuko wa moto wa Lori na huyo nani mkubwa wabaguzi nyie? Yule hata tangazo hamkutoa Wala kueleza kinachofuata.Wala kutoa pole kwa wafiwaRip huu ni msiba wa kitaifa kwan Tanzania imepoteza mtu muhimu sana kwa maslai mapana ya uzalendo
Pumzika kwa Aman dada yetu Amen
Na yeye alikuwa anaiba mafuta??😆😆😆Mwenyekiti wa chadema mkoa wa morogoro aliyekufa kwa mlipuko wa moto wa Lori na huyo nani mkubwa wabaguzi nyie? Yule hata tangazo hamkutoa Wala kueleza kinachofuata.Wala kutoa pole kwa wafiwa
Hajafa acha kukariri labda unawanga mchanaMwenyekiti wa chadema mkoa wa morogoro aliyekufa kwa mlipuko wa moto wa Lori na huyo nani mkubwa wabaguzi nyie? Yule hata tangazo hamkutoa Wala kueleza kinachofuata.Wala kutoa pole kwa wafiwa
huyo jamaa ni mchawi sana , kwao ni KataviHajafa acha kukariri labda unawanga mchana
Chadema watu wabaya sana toka Dr slaa andoke, chadema awana upendo tena kwa Wa TanzaniaAsante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Jamani makamanda muwe makini! Majini ya CCM yako kazini usiku na mchana yatawamaliza khaa
Apumzike kwa amani