TANZIA : Chadema yapoteza kiongozi shupavu wa BAWACHA

Asante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Mfalme hakaliwi juu! Walisitisha zoezi baada ya Mh Rais kutoa pole kwa ujumla, isingekuwa jambo la busara kuona ya Mh Rais haitoshelezi
 
Undugu umeanza lini?

As animals,tunafanana na snail kwa asilimia 99%

Tunafanana na sokwe kwa asimilia 99.9999%

Binadamu as specie ni 100%

Katika broader sense bila kutumia truncated view wanadamu wote ni ndugu essentially!

Kama unatumia ndugu ni wa tumbo moja then unatumia very narrow lens!
 
Rip huu ni msiba wa kitaifa kwan Tanzania imepoteza mtu muhimu sana kwa maslai mapana ya uzalendo
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa morogoro aliyekufa kwa mlipuko wa moto wa Lori na huyo nani mkubwa wabaguzi nyie? Yule hata tangazo hamkutoa Wala kueleza kinachofuata.Wala kutoa pole kwa wafiwa
 
Asante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Chadema watu wabaya sana toka Dr slaa andoke, chadema awana upendo tena kwa Wa Tanzania
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom