TANZIA : Chadema yapoteza kiongozi shupavu wa BAWACHA

mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
2,326
Points
2,000
mpimamstaafu

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
2,326 2,000
Asante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Kwani wakitoa pole mpaka wakujulishe mkuu
 
W

Wo shi niubi

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Messages
752
Points
1,000
W

Wo shi niubi

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2015
752 1,000
Pole kwa familia, ndugu, Jamaa na wana mageuzi wote, mungu akupumzishe mahali pema.
 
henry kilenga

henry kilenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
1,116
Points
2,000
henry kilenga

henry kilenga

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2015
1,116 2,000Naomba kuuliza kwanini wafipa walishangilia huo msiba hapo Jul

Na wao wanataka wahurumiwe
 
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2018
Messages
371
Points
500
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2018
371 500
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa morogoro aliyekufa kwa mlipuko wa moto wa Lori na huyo nani mkubwa wabaguzi nyie? Yule hata tangazo hamkutoa Wala kueleza kinachofuata.Wala kutoa pole kwa wafiwa
Kwann unaongopa
 
macson3

macson3

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
514
Points
1,000
macson3

macson3

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
514 1,000
Kweli kifo hakina huruma,apumzike kwa amani msichana.
 

Forum statistics

Threads 1,326,257
Members 509,458
Posts 32,215,955
Top