Watanzania tunakumbuka Mbowe aliahidi kustaafu 2023 na Zitto Kabwe 2024!

1024x538_cmsv2_e3513870-00de-5079-871e-38d46d63b5e1-6492246.jpg

Mwamba akistaafu ndio mtaacha kulala bila ya kunywa Valium?
 
Sumu haijalibiwi Kwa kulamba, mbowe ni sultan mwenyekiti wa kudumu, anayekitamani kiti cha mbowe ajiandae kukambana na yaliyompata, lissu, chacha wangwe, kabwe na sumaye!!
 
Mbowe atastaafu akiipa CDM Dola kutawala.

Hiyo ni deal nzuri.
Ndio maana tunawaambia Mbowe ni sultan mwenyekiti wa kudumu kabisa, chadema kushika labda miaka mia tatu huko sijui kama Mbowe atakuwepo!!
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Wewe kampuni binafsi unawezaje kurithisha ambao sio ndugu?mmesahau kuwa Mzee Mbowe yeye alirithishwa na Baba Mkwe?
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Wewe kademu haujambo kwa unafki
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Siku hazigandi
 
Cheo ni asali nyingine
 
PIcha inaanza kipengele cha ukomo kwenye katiba kapita nacho kama mwewe!
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak
Kwahiyo tujiandae kugombea au ulitaka kusema nini labda? Mambo ya Chadema waachiwe wenye Chama chao. Sisi tujiulize; Katiba yenye kuweka Misingi mizuri tutaipataje ili Nchi yetu isipigwe mnada? Hayo ndio mambo ya kuzungumza sio viongozi wa vyama.
 
Mbowe atastaafu akiipa CDM Dola kutawala.

Hiyo ni deal nzuri.
Kwa lugha nyepesi na ya kueleweka mbowe atafia kwenye kiti akiwa sultan mwenyekiti wa kudumu chadema, make chadema kushika Dola labda miaka elf10 huko.
 
Back
Top Bottom