TANZIA : Chadema yapoteza kiongozi shupavu wa BAWACHA

chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
667
Points
1,000
chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
667 1,000
Naye alikuwa kiongozi wa wasiojulikana?

Maana siku hizi akifariki mtu utasikia bavichaa wanasema alikuwa kiongozi wa waliompiga risasi Lisu
Unawanga mchana
 
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
2,770
Points
2,000
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
2,770 2,000
Asante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Labda ni fedheha kuwa na Chairman kibaka.

BTW:Ni kweli alikuwa miongoni mwao au hearsay tu?
 

Forum statistics

Threads 1,326,261
Members 509,458
Posts 32,216,041
Top