TANZIA: Buriani Mzee Moshi T.T wa Tabora

TANZIA: Buriani Mzee Moshi T.T wa Tabora

UPDATE:Mazishi yanafanyika hapa Dar es salaam, saa 7mchana leo makaburi ya Kisutu.
 
Yap soka lilikua juu tbr enzi hizo kumbuka akina amadi mwinyimkuu,Muarami,Makiipa Ombopa,Mashoto,marehemu abasi mchemba/saidi mwamba,/luwaga/kagoma,yusuf msomali akina mtandi,haji,kasanga na hata akina kuleshi ufunguo...
 
Mzee Masonga ( RIP) wa First and Last Hotel?? Alikuwaga pia referee?
 
Mzee Masonga ( RIP) wa First and Last Hotel?? Alikuwaga pia referee?
Juma msonga yupo wapi? nawakumbuka pia makaka wa kule mwanza road saidi kasongo na kaka yake wapo tabora bado? Aisee siku nyingi sana. Gheto la kina juma msonga pale kanyenye kwenye kona liliniharibia sana dada zangu.
 
Ha ha ha Tabora ilikua tamu viwanja disco tabora hotel,isungu na kule ndani ya uhaziri college sikumbuki jina,
 
Back
Top Bottom