ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Kwa wale wasiomfahamu ni baba wa wachezaji mpira maarufu nchini akina Iddi,Haruna na hata Mrisho Moshi.
Mzee Moshi amefariki mchana wa leo masaa machache yaliopita pale hospitali ya Kairuki Mikocheni.
Marehemu amesumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi ya kibofu.
Msiba upo nyumbani kwake Mbezi.
Taarifa zaidi zitafuata.