Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

NEWSFLASH!!

This is how serious Ngabu Complex is.

Apart from hallucinations and figments of imaginations, mtu anaingia mpaka kwenye profile yangu hahahahaaa. Kuwa ignored ni kubaya sana.

I am getting a major kick out of this.

Tahadhari tu, mimi siitwi Richard Mugizi. Mihemuko yenu itawafanya muanze kuwatukana na watu ambao hata hawahusiani na mimi kwa namna yoyote ile.

Kama kuna mtu ana hamu sana ya kutaka kunijua basi aniulize naitwa nani lakini si kubahatisha jina langu na kuishia kurusha majina ya wengine kimakosa.
 
Leo wamekunywesha DOMPO babe angu. Sio bure

DOMPO ndo nini tena wewe bebi bana?

Eti bebi, mi naitwa Richard Mugizi:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:.

Yaani nacheka hapa hadi Kisura naye anacheka wakati hata hajui mimi nachekea nini.
 
NEWSFLASH!!

This is how serious Ngabu Complex is.

Apart from hallucinations and figments of imaginations, mtu anaingia mpaka anaingia kwenye profile yangu hahahahaaa. Kuwa ignored ni kubaya sana.

I am getting a major kick out of this.

Tahadhari tu, mimi siitwi Richard Mugizi. Mihemuko yenu itawafanya muanza kuwatukana na watu ambao hata hawahusiani na mimi kwa namna yoyote ile.

Kama kuna mtu ana hamu sana ya kutaka kunijua basi aniulize naitwa nani lakini si kubahatisha jina langu na kuishia kurusha majina ya wengine kimakosa.

We umbwa kuna aliyesema wewe waitwa hivo?? Leta bandiko limesema Nyani ni Richard..

After all I've a prove of who is Richard Mugizi.. So before doing anything sit there and watch how this ends..
 
DOMPO ndo nini tena wewe bebi bana?

Eti bebi, mi naitwa Richard Mugizi:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:.

Yaani nacheka hapa hadi Kisura naye anacheka wakati hata hajui mimi nachekea nini.

Bebi hebu mfate huyo junya huko PM akakuthibitishie kuwa mimi naitwa Richard Mugizi.....

Najua hata wewe unacheka mimi kuitwa Richard Mugizi.

We bebi usinichekeshe bana ntapaliwa makande yangu niliyokula bureee. Kama namuona kisura vile anavokuigiliza kucheka lols
 
Pwa ha ha ha ha ha.........funza kapaniki ahahaahahahahahaaaaaaaaaaa.

Oh by the way, hivi funza akifa analiwa na funza wenzake au....?

Bitch boy, I am right here, I ain't going nowhere.

Richard Mugizi pwa ha ha ha ha ha ha ha.....

Whoever that Richard Mugizi is I feel terribly bad for him to have his name dragged through the mud like this.

Haya, ngoja nione hii movie itaishaje
 
We bebi usinichekeshe bana ntapaliwa makande yangu niliyokula bureee. Kama namuona kisura vile anavokuigiliza kucheka lols

Eti Richard Mugizi ahahahahahahaaaaaaaaaa

Ila Kisura huyu naye mtundu sana aiseee.

Nimemuuliza hapa kama mimi naitwa Richard Mugizi....kaniuliza 'who the hell is that'?
 
Dah! Hii ni Jumapili nzuri sana kwa kweli.

Kuona mgonjwa wa Ngabu Complex akipaniki kama mgoni aliyefumaniwa ni burudani nzuri sana ya kumalizia wiki.

Mgonjwa kapaniki hadi kaingia kwenye profile yangu hahahahahahahaaaaaa.

Tatizo huu ugonjwa wa Ngabu Complex hauna dawa hospitalini. Ila atanyooka tu.

Richard Mugizi:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:.

Nani mjanja sasa:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
 
Amesema sana mama, dunia tambara bovu
Kuna asali na shubiri, ujana giza na nuru
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana

Ulichokifata hukupata, umekosa ulivyoacha
Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana
Kwa vichache ulivyovitaka, vingi ulivyoacha

Oyayeeee, mbona unajitesa sana
Omameeee omameee, omameee haya mameeeee
 
Amesema sana mama, dunia tambara bovu
Kuna asali na shubiri, ujana giza na nuru
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana

Ulichokifata hukupata, umekosa ulivyoacha
Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana
Kwa vichache ulivyovitaka, vingi ulivyoacha

Oyayeeee, mbona unajitesa sana
Omameeee omameee, omameee haya mameeeee

Mmh bebi hujui kuimba... Sauti kama chura,rudia tena
 
Mmh bebi hujui kuimba... Sauti kama chura,rudia tena

Jamaniii, ninataka saule
Kama mapenzi ghorofa, yamejaa Kariakoo
Mi nina mapenzi tele, kama kwetu kule
Wanaonitaka ni wengi, ila mimi kwako nyang'anyang'a

Nini unataka, mi nnamiujiza
Nini unataka, kama ni macho ya blue light
Sema nini unataka, nikugeuze princess sema nini unataka

Hapo vipi ?
 
Jamaniii, ninataka saule
Kama mapenzi ghorofa, yamejaa Kariakoo
Mi nina mapenzi tele, kama kwetu kule
Wanaonitaka ni wengi, ila mimi kwako nyang'anyang'a

Nini unataka, mi nnamiujiza
Nini unataka, kama ni macho ya blue light
Sema nini unataka, nikugeuze princess sema nini unataka

Hapo vipi ?

Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani....

Mmmh kama unakuja kuja vile. Hebu lete mwingine halafu ongeza sauti banaaa!
 
Hahahahahahaha hapa hakuna aliyetajwa kwamba yeye ni Richard Mugizi lakini kuna jinga moja limeshajishtukia limeanza kutoa cheche.. Yona na Mramba hakuna siku waliwahi kukiri mahakamani kwamba walifanya makosa..

Hivyo basi, kwakuwa naheshimu sheria za JF kuhusu name calling, yeyote ambaye anataka prove nani ni Richard humu JF aje PM nami nitafanya hivyo.. Uzuri wa mitandao bana maneno hayafutikagi humu teh teh teh

kweli asee wasi wasi ni akili man,, ashaanza kujishtukia hana jipya na hata hao anaowapa kipaumbele wanamwona kama katuni tu!
 
Kila mtu anayetokea Arusha anataka kutuaminisha ni Bilionea, come on guys...kuweni serious.

Kaka watu wanapiga Kazi huku vijana wadogo wanamiliki dollari cjui wewe ni MTU was a in a gani au mswahili kukaa kibarazani tu Massa 24 amka gari Moshi linapita
 
Mkuu wabongo utawaweza.. Wengine wanasema kila anayekufa Arusha ni billionea as if wote wanaokufa wanapostiwa humu teh teh

Kuna ----- mmoja ni mpishi wa Hotel kule Marekani, anawadanganya waswahili humu na viengereza vyake wanamuogopa kweli kweli.. Huyo ndie anaongoza kwa chuki dhidi ya Mabillionea wa kibongo teh teh

Nina actors 12 na mm naweza kuwa bullionea
 
kweli asee wasi wasi ni akili man,, ashaanza kujishtukia hana jipya na hata hao anaowapa kipaumbele wanamwona kama katuni tu!

Mkuu anza kwenda hapa kwanza https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/186919-banned-richard-mugizi.html

Alafu nenda na hapa then soma comment namba 17 na Tag yake ya 18.. Angalia vizuri hayo majina https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/162719-ignore-list.html

Ukipitia hiyo link niliyokuwekea namba moja, soma na huu uzi alafu kama una akili nzuri utajua ni nini huyo mtu analalamika https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/182179-paw-acha-wivu.html

hivyo nilizoweka ni baadhi ya facts tu.. Nina ushahidi zaidi ya huo wa nani ni RICHARD MUGIZI hapa JF..

CC:
uncleben_ The Bleiz sexologist
 
Huyu muuza supu si bilionea hata kidogo.

Yaani huko Arusha kila mtu anaitwa bilionea, hata wewe Ngongo watakuita bilionea punde kwa kuwa una kausafiri kako na ukiwa na kibanda kule Njiro ati weye ni bilionea!

Vv
 
Back
Top Bottom