Gerald Zakaria
New Member
- Jun 7, 2015
- 2
- 0
Kazi ya mungu haina makosa
Mabilionea wa Arusha hawahitaji kuwekwa kwenye orodha ya Forbes bana.
Wao ni JF tu tena wakifa ndo tunawasikia.
Tunaiamini JF kuliko hata hiyo FORBES ! umagharibi unakupoteza man!
Tunaiamini JF kuliko hata hiyo FORBES ! umagharibi unakupoteza man!
Mfanyabiashara Maarufu toka miaka ya 80 Mtui wa Kimory Investment amefariki Dunia.
Kimory pia ni mmiliki wa lodges kadhaa jijini Arusha ikiwemo Kimory executive na Florida In.
Arusha kila mfanya biashara akifa anaitwa 'bilionea'.
Huku Arusha ukifa hatuitagi marehemu tunaita bilionea
Huku Arusha ukifa hatuitagi marehemu tunaita bilionea
Ulikuwa jikoni nini ----- wewe..
Haya nenda ka google lyrics za kina Wiz Khalifa uzileta humu..
Mi mwenyewe bilionea
Mi mwenyewe bilionea
Dah Mkuu unaua... Ndo maana mi huwa sipendi kuandika kiingereza humu, japo nakijua kile cha ndani kabisa, marekani jimbo la Chicago mtaa wa anfield jirani na bekam..
Mi mwenyewe bilionea
We ni vilionea yaani una vimilioni vichache..
Wewe ni bilionea wa Sarafina
Kwani na we uko Arusha?
Unaongea na bilionea wa Arusha hapa...
Ngoja ni Google Richard Mugizi [ooops sasa nitajigugoje mwenyewe teh teh teh teh..]
Today's lunacy takes the cake!!
What a day!
Ngabu Complex is real y'all. It can *** you up for real.
Ukienda kunya...we unamuwaza Ngabu tu.....ukijamba...we unamuwaza Ngabu tu....ukidanganywa....unaingia mkenge kama zumbukuku......
Ngabu Complex is serious.