Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,429
Teh teh teh teh...mama weeee
Sasa nishajua kwa nini funza anadhani mimi ndo Richard Mugizi.
Hilo jina bana ni moja ya majina feki niliyowahi kuwa nayo humu.
Nadhani ni ama niliacha tu kulitumia au liliunganishwa na hili la NN.
Ama kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Kamwe sijawahi kuja na jina langu la ukweli humu.
Kamwe.
Ndo maana nimecheka sana nilipoona kuna funza anadhani eti mimi ndo Richard Mugizi.
Kudhani Richard Mugizi [ambalo ni jina la Kihaya, nadhani] ni mimi wakati kikweli kweli mimi ni Msukuma ni sawa na kudhani Nyani Ngabu ni jina langu la ukweli.
Sasa kama kweli Richard Mugizi ni jina langu la ukweli, basi hata Jini Mapembe nalo ni jina langu la ukweli, na kadhalika.
Sikudhani funza atakuwa yuko naive na gullible kiasi hicho aisee.
Hilo jina nililionaga kwenye Spam Folder ya email yangu nikaona nijiandikishe nalo tu.....little did I know someone would fall for it hook, line, and sinker.
Kwa wanaonijua wakiona hii watacheka sana aisee. Hahahaaaa.....ID feki ya JF mtu anaamini ndo ID yangu ya kweli?
Wow! Just Wow!
Halafu sasa hilo jina nilikuwaga nalitumia kumzingua Yo Yo [sijui kapotelea wapi huyu bwana siku hizi hahahaaa].