chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Arusha wapo mabilionea kweli wala sio uwongo sema pia utani unachangia.
Alafu nimesoma huu uzi wengi hawaelewi ubilionea mtu anaitwa akiwa na billion moja na kuendelea kwa currency ya Taifa husika na sio eti ukishakuwa na billion za USD huo ni ulimbukeni.
Alafu billion moja ni million elfu moja na wala sio million mia moja kama Pasco alivyoandika.
Kisha ni ukweli kanda ya kaskazini wengi wa wenye pesa na wanaotambulika ni wazawa na sio wahindi na waarab kama Dar maghorofa asilimia 90 town center yanamilikiwa na wazawa na watu wanausaka haswa utajiri sio kama Dar watu kukaa na kuhesabu magari na mali za baresa usharobaro na kujiona born-town wakati mfukoni hola.
Kaskazini watu wanahaso haswa na hela inatafutwa to the maximumm nendeni mkapate maujuzi bahati nzuri kila anae bahatika kwenda kaskazini anasema ukweli japo wabishi na wenye wivu kichwa ngumu hawatakosekana.

Last edited by a moderator: