TANZIA: Askofu Samson Mushemba afariki dunia

May his soul rest in eternal peace.
Amekilisha safari yake
 
Kasema aliwahi kutuhumiwa, hajasema 'alikua akifanya biashara ya ngada', Yesu mwenyewe leo atatuhumiwa kusema yeye ni mfalme wa Wayahudi, ni kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama KKT mbona kwenye wasifu wake hana watoto wala mke?
Ana mke na watoto mwanae mmoja ni mke wa jamaa mmoja alikua ikuru kipindi cha JK na mtoto mwingine anaishi marekani amejenga shule inaitwa Mshemba Trinity pale bukoba
 
Samson Mushemba, pumzika Mtumishi wa Mungu.

Ukifika Mbinguni msalimie sana Dr. Stefano Ruben Moshi, mwanzilishi wa KKKT.

Msalimie sana baba yangu Mzee Isaki Lyimo na mama waambie ninawakumbuka.

Samson Mushemba, pumzika salama baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana mke na watoto mwanae mmoja ni mke wa jamaa mmoja alikua ikuru kipindi cha JK na mtoto mwingine anaishi marekani amejenga shule inaitwa Mshemba Trinity pale bukoba
Shukrani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…