Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 523
Aliwahi kuwa na tuhuma za biashara ya nganda.
Sibonike umeset precedent mbayo juu yako, wewe ni mpuuzu na hata kama unatumia fake ID tunaweza kukusoma wewe ni mtu wa namna gani.
BABA ASKOFU DR. SAMSON B. MUSHEMBA amesimama katika njia ya Mungu maisha yake yote. Mungu ampe pumziko la amani, amina.
Sent from my iPhone using JamiiForums