TANZIA: Askofu Samson Mushemba afariki dunia

TANZIA: Askofu Samson Mushemba afariki dunia

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, nazo zimejaa taabu na shida. Hapa duniani sisi ni wasafiri na wapitaji hatuna mji udumuo. Hakuna vita umevipiga, imani umeilinda na hatimae mwendo umeumaliza. Pumzika kwa amani
 
Pumzika kwa amani baba Askofu Mushemba. Huyu ni kati ya wala maaskofu ambao walikuwa hawapindishi mambo. Kwake mambo yote aliyanyoosha na yakanyooka.

Mungu alisimamia maamuzi yake kwa kweli na yakitoka yalipigwa muhuri wa moto. Kila nafsi itaonja mauti.Pumzika kwa Amani Baba.
 
Amemaliza mwendo wake, na hesabu zake zimefungwa sisi tulio hai Bwana atujalie hekima tuzihesabu siku zetu za rehema tunazopewa ili tutembee sawa na mapenzi

Bwana awafariji familia na washirika wote
Ujumbe maridhawa. Dunia tunapita. Mliomshambulia Lisu mjue mwendo wenu nanyi utafika mwisho. Hesabu zenu zitafungwa na kuhesabiwa! johnthebaptist
 
Pumzika kwa amani baba Askofu Mushemba.Huyu ni kati ya wala maaskofu ambao walikuwa hawapindishi mambo.Kwake mambo yote aliyanyoosha na yakanyooka.Mungu alisimamia maamuzi yake kwa kweli na yakitoka yalipigwa muhuri wa moto.Kila nafsi itaonja mauti.Pumzika kwa Amani Baba.
Amen
 
Informer,
انا لله و انا اليه راجعون

We are all belong to God and to him we shall return.
 
Upumzike kwa amani baba Askofu Dr Mushemba. Huwezi kuzungumzia uimara wa KKT bila kumzungumzia huyu Mzee.
 
Shetani rudi nyuma mtumishi aende na Yesu.
Rest in Perpetual Peace Bishop Samson.
 
Back
Top Bottom