TANZIA: Askofu Samson Mushemba afariki dunia

TANZIA: Askofu Samson Mushemba afariki dunia

May his soul rest in eternal peace.
Amekilisha safari yake
 
Sibonike umeset precedent mbayo juu yako, wewe ni mpuuzu na hata kama unatumia fake ID tunaweza kukusoma wewe ni mtu wa namna gani. BABA ASKOFU DR. SAMSON B. MUSHEMBA amesimama katika njia ya Mungu maisha yake yote. Mungu ampe pumziko la amani, amina.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kasema aliwahi kutuhumiwa, hajasema 'alikua akifanya biashara ya ngada', Yesu mwenyewe leo atatuhumiwa kusema yeye ni mfalme wa Wayahudi, ni kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama KKT mbona kwenye wasifu wake hana watoto wala mke?
Ana mke na watoto mwanae mmoja ni mke wa jamaa mmoja alikua ikuru kipindi cha JK na mtoto mwingine anaishi marekani amejenga shule inaitwa Mshemba Trinity pale bukoba
 
Samson Mushemba, pumzika Mtumishi wa Mungu.

Ukifika Mbinguni msalimie sana Dr. Stefano Ruben Moshi, mwanzilishi wa KKKT.

Msalimie sana baba yangu Mzee Isaki Lyimo na mama waambie ninawakumbuka.

Samson Mushemba, pumzika salama baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kibilia ubarikiwe

RIP Baba Askofu Dr. Samson Mushemba! Vita ulivipiga, mwendo umeumaliza

Sent using Jamii Forums mobile app

FB_IMG_1586524296472.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana mke na watoto mwanae mmoja ni mke wa jamaa mmoja alikua ikuru kipindi cha JK na mtoto mwingine anaishi marekani amejenga shule inaitwa Mshemba Trinity pale bukoba
Shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom