BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,464
- 3,641
Tuhuma tuhuma.
Tuhuma huwa zinathibitishwa au zinafutwa zikifutwa habari inafikia mwisho zikithibitishwa sheria inachukuwa mkondo wakeTuhuma tuhuma.
Una akili timamu au wewe ni taahira?
In Tanzania, a lot of things are solved or fixed behind the scene. That is what happened to the late Bishop.Tuhuma huwa zinathibitishwa au zinafutwa zikifutwa habari inafikia mwisho zikithibitishwa sheria inachukuwa mkondo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
No commentsIn Tanzania, a lot of things are solved or fixed behind the scene. That is what happened to the late Bishop.
Maelezo tangu mwanzo yanaongelea ulutheri. Hii ni elimu yake, kupata upasta, na mengineyo. Soma waifu kabla ya kuuliza, au ni uvivu wa kusoma.
Tukishasoma heading hatusomi content...Ni Mlutheri. Alishawahi kuwa mkuu wa kanisa. Imeandikwa hata kwenye habari husika ni wa kanisa gani.
Kanisa la KKKT limepata msiba kwa kuondokewa na kiongozi wake mkuu mstaafu.
Pole kwa jumuia nzima ya wana kkkt.
Bwana ametoa , Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.