Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 523
Aliwahi kuwa na tuhuma za biashara ya nganda.
Vijana wa juzi nyie. Usiukimbie ukweli.Sibonike umeset precedent mbayo juu yako, wewe ni mpuuzu na hata kama unatumia fake ID tunaweza kukusoma wewe ni mtu wa namna gani. BABA ASKOFU DR. SAMSON B. MUSHEMBA amesimama katika njia ya Mungu maisha yake yote. Mungu ampe pumziko la amani, amina.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna wapuuzi wanakataa. Lisemwalo lipo...Niliwahi kuisikia vijiweni,familia yake ipo wapi!?
Alikuwa askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania hadi alipokuja kustaafu kwenye mwaka 2006 au 2007! Apumzike kwa amani ya Bwana!
Huyo ni mfuasi wa martin luther wa ujerumaniSidhani, Hawavai hivo pia kofia yake isingekosekana kichwani.
Kubwa zaidi angalia mapambo ya kanisa kwa nyuma! Bila sababu ya msingi RC hawaweki mapambo ya hivo bila Codes za kilutrijia.
(Sijasema hapo yupo kanisani)
LutheranNi Mlutheri. Alishawahi kuwa mkuu wa kanisa. Imeandikwa hata kwenye habari husika ni wa kanisa gani.
Sidhani, Hawavai hivo pia kofia yake isingekosekana kichwani.
Kubwa zaidi angalia mapambo ya kanisa kwa nyuma! Bila sababu ya msingi RC hawaweki mapambo ya hivo bila Codes za kilutrijia.
(Sijasema hapo yupo kanisani)
MlutheriSidhani, Hawavai hivo pia kofia yake isingekosekana kichwani.
Kubwa zaidi angalia mapambo ya kanisa kwa nyuma! Bila sababu ya msingi RC hawaweki mapambo ya hivo bila Codes za kilutrijia.
(Sijasema hapo yupo kanisani)
Hapana sio Padri wa Roma huko Italia. Ni Askofu wa KKKT.