chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,703
- 22,743
Huyu mzee hakuwa na makuuR.i.p
Ila kwa muonekano huyo marehem inaonyesha alikuwa kauzu sana
Huyu mzee hakuwa na makuuR.i.p
Ila kwa muonekano huyo marehem inaonyesha alikuwa kauzu sana
Alikua mtu powa sana,nilimjua akiwa DC wa Moro TownR.i.p
Ila kwa muonekano huyo marehem inaonyesha alikuwa kauzu sana
RC not RPCDuh, so sad nakumbuka huyu RPC japo kuwa ni mwana CcM ila hakuwa na makuu.
May his soul rest in eternal peace
Duu kua na ubinadamu kidogo. It seems hata humjui. Kwa taarifa tu Mzee Mwabungu alikua mtu mwenye busara sana na hakua na makuuR.i.p
Ila kwa muonekano huyo marehem inaonyesha alikuwa kauzu sana
Na weweMwenye cv yake
R.i.p
Ila kwa muonekano huyo marehem inaonyesha alikuwa kauzu sana
Sure. We can just write MHSRIP (May His/Her Soul Rest In Peace). WaZambia wanaitumia sana.Wakuu msiandike tu R.I.P huo ni kama ubabe , ni vema muanze na neno hili , " MAY HIS SOUL "